Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ameeleza kufurahishwa na maonesho ya siku tatu ya Wizira ya Nishati na taasisi zake yaliyofanyika katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma kuanzia Mei 23 hadi 25, 2022
Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba leo Mei 19, 2022 ameshiriki ziara ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Samia Suluhu Hassan Mkoani Tabora ambapo amewahakikishia wananchi kuimarika kwa hali ya upatikanaji wa umeme nchini kupitia uwekezaji wa miradi ya umeme inayoendelea.
Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Umeme nchini (TANESCO) imekamilisha ujenzi wa mradi wa umeme wenye thamani ya shilingi bil. 2.9 wa kuunganisha Wilaya ya Ngorongoro kwenye grid ya taifa.
Mwenye nyumba yangu anatutoza bei ya umeme kubwa zaidi kuliko TANESCO, nifanye nini? +
Wateja wanapaswa kulipa bei ile ile ambayo shirika linatoza,hakuna anaruhusiwa kuuza umeme bila kibali cha mamlaka zinazohusika.Aidha wateja wanashauriwa kuhakikisha
Inategemea, endapo taarifa mteja aliyotoa itapelekea kukamatwa kwa mtuhumiwa na kudhihirika kuwa anaiba umeme, shirika litafanya hesabu na kubainisha kiasi