Je nikifichua mwizi wa umeme napewa zawadi?
Inategemea, endapo taarifa mteja aliyotoa itapelekea kukamatwa kwa mtuhumiwa na kudhihirika kuwa anaiba umeme, shirika litafanya hesabu na kubainisha kiasi cha hasara iliyopatikana, kutokona na kiasi hicho kilichookolewa mteja atapatiwa zawadi baada ya kufanyika kwa hesabu.