loading...

Tanzania kwa sasa tuna umeme wa kutosha,Kutokana na uwepo huu wa umeme,nitoe wito kwa wale wote wenye viwanda hakikisheni mnatumia uwepo wa umeme huu kwa ajili  kuzalisha bidhaa