Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Selemani Jafo akimkabidhi tuzo kwa niaba ya Mkurugenzi wa TANESCO afisa masoko Bi Jacqueline Lusozi ya mshindi wa kwanza upande wa taasisi za umma kwenye kipengele cha ubunifu na upekee wa banda katika kilele cha maonesho ya wawekezaji Sabasaba,Dar es salaam