loading...

Mwenyekiti wa Kamati, Mhe. Juma Khatibu, ameipongeza Serikali kwa usimamizi mzuri wa mradi huo ambao utaongeza umeme wa kutosha kwa nchi na kuleta tija kiuchumi.