Wananchi wa Iringa waombwa kulinda miundombinu ya umeme. Umeme unachangia ukuaji wa uchumi, uboreshaji wa afya, na kuboresha maisha ya kila siku. Tujitahidi kulinda miundombinu ya umeme ili kuendelea kufurahia faida zake.
Read More

Vyanzo mseto vya uzalishaji umeme ndio jibu la uhakika la umeme wa kutosha kuwezesha maendeleo ya sekta ya kilimo ,mifugo na uvuvi.
KATIBU MKUU NA NAIBU KATIBU MKUU NISHATI KWENYE BANDA LA TANESCO wakipata elimu ya nishati safi ya kupikia katika maonesho ya Nanenane Dodoma
Hakikisha mita ya kwanza haina deni au haikuchezewa. Fika ofisi za TANESCO na kitambulisho utapatiwa fomu hakikisha unakuja na namba ya mita ya mwanzo. Baada... Read More
Jina halisi ni CIU na sio king’amuzi au remote,mteja anayeibiwa au kupoteza CIU anapaswa kutoa taarifa kituo cha polisi ili kupatiwa loss report... Read More
Click here to take our
CUSTOMER SATISFACTION SURVEY